Ujasiri wa Kuzungumza (Ujumbe wa Leo)
Posted by Apolinary Macha on 08:11 with No comments
Usiweke nadharia na kuruhusu mawazo ambayo huna uhakika nayo. Jijengee ujasiri wa kuongea unachotaka kuongea na kujielezea unavyotaka kujielezea. Jifunze kuwasiliana na watu na kuwa jasiri kujizelezea au kuuliza maswali. Ukiweza, utakuwa umebadilisha maisha yako kwa namna moja au nyingine.
Categories: Jitambue, Kujitambua
0 maoni:
Chapisha Maoni