Kuhusiana na Blogg hii.

Posted by Apolinary Macha on 14:49 with 11 comments

Hii ni blog yenye kukupa mwanga katika kuzungumzia mambo mbalimbali ya muhimu katika maisha. Tutafahamishana kuhusiana na maisha, afya, saikolojia, sayansi, elimu za ziada, maelekezo katika hatua mbalimbali za maisha, pia kutakuwa na nafasi katika kuelekezana mambo mbalimbali na kukaribisha mada na maswali ambayo wengi wamekuwa wakitafuta majibu.

Unakaribishwa sana katika kufuatilia Blogg hii, kila wiki kutakuwa kuna mada mbalimbali mpya, na pia unaweza ukanitafuta kwa email yangu kwa maswali ya ziada zaidi.

Napenda kuwakaribisha sana wale wote wanaopenda kujifunza. Kujifunza ni muhimu kwani unapojifunza unaongeza ufahamu, na elimu huondoa ujinga, huongeza ustaarabu, maarifa, kujitambua na kutambua maisha kwa kina na kwa undani zaidi.

Endelea kufuatilia Blogg hii kwa elimu zaidi. Kama una maswali au Ushauri unaweza kuwasiliana nami kwa kutumia jitambuesasa@gmail.com

KARIBU SANA.
#JitambueSasa