Maana ya Ufufuo na Pasaka katika roho

Posted by Apolinary Macha on 15:18 with No comments

Neno "UFUFUO" lina maana ya 'kuinua, kuimarisha, kurudisha upya na kupumua maisha mapya'.

Wakati wowote tunapofanya mabadiliko katika nafsi yetu ni kama kifo cha kiroho na kuzaliwa upya.



Categories: