Pata Vitabu Vya Meditation/Taamuli (FREE DOWNLOADS)
Posted by Unknown on 10:43 with 1 comment
Unaweza ukadownload vitabu hivi, kisha vikakusaidia katika kufahamu mengi kuhusiana na meditation. Vitabu vingi vya meditation vipo katika lugha ambazo sio za kiswahili lakini vingi vinaweza kueleweka kwa urahisi na kukusaidia. Kwa wale ambao wanatumia Lugha ya kiswahili, vitabu vya Taamuli vitatoka na kisha tutawatumia BURE.
Unachopaswa kufanya ni kubonyeza link hizo na utadownload moja kwa moja.
Karibuni sana na tunawatakia kila la kheri katika kujifahamu na kujitambua.
MEDITATION - THE INWARD JOURNEY.
HOW TO MEDITATE - A PRIMER FOR BEGINNERS
THE INNER JOURNEY
Nashukuru kwa elimu muhimu katika maisha. Nitaendelea kujifunza
JibuFuta