Kanuni ya Usawa wa Ufahamu, Akili na Uhalisia wa Maisha ya Mtu (Kanuni ya Tisa)
Posted by Unknown on 10:31 with No comments
Bado ni muendelezo wa sheria kumi za akili na experience ya mwanadamu.
Hivyo subconscious mind ni kama sehemu inayojaribu kuleta experience ya kilichopo kwenye conscious mind. Unapoamini jambo fulani au unapoweka mtazamo fulani kwenye conscious mind kinajiweka kwenye subconscious mind, na reality, mazoea, experience nayo inajiweka kutokana na kilichopo kwenye ufahamu wako.
Kanuni hii inatusaidia sana kwa kutujulisha kuwa kila experience iliyopo nje yetu imepitia katika ufahamu wetu kwanza. Labda nikuulize kitu, unaweza kuimagine kitu ambacho hujawahi kukiona kabisa wala kupata idea yake kwa kutumia imagination inayojitegemea na uliyoizoea? No, ila unaweza kuimagine kitu kutokana na experience fulani au experience mbalimbali na ukatengeneza picha mpya kutoka katika kilichopo katika ufahamu wako. Hivyo hatuna uwezo wa kuimagine au kutengeneza tusichokifahamu nje ya experience tunayoifahamu bali tunaboresha experience baada ya experience kwa kutengeneza experience nyingine.
Pia kanuni hii inatusaidia kufahamu kuwa hakuna kinachoingia kwenye subconscious mind bila kupitia kwenye conscious mind. Ulishawahi kufanya kitu unconsciously na ukajikuta unashangaa how uliweza kumanage that? It happen.
Mfano kwa kutumia kurudiarudia (repetition) na kuteka imani ya mtu kunaprogram subconscious za yake. Unaporudia rudia kitu unakipa nafasi kuingia kwenye subconscious mind na kikishaingia kwenye subconscious mind ni vigumu kukiondoa na experience yake inaanza kufanyika kwenye uhalisia unaouishi. Mfano kurudia rudia maneno katika sala kunasaidia kupelekea ufahamu wa ndani kuchukua na kuweka akilini maneno hayo. Na sio tu sala, hata katika maisha ya kawaida mtu akianza kusema jambo fulani na kulirudia rudia huku akiliamini linamkaa katika subconscious na kuexperience reality zinazoendana na anachokiamini kila siku na kujisemea kila siku. Ndio maana vitu kama woga, wasiwasi, hasira, chuki, vyote ni sumu kwani vinaturudisha nyuma na vikitukaa tunakata tamaa na kutoelewa maana kamili ya maisha.
Hata katika nyimbo kwenye maredio ikirudiwa sana automatically utaanza kuielewa na kuipenda, hata matangazo hutumia ujanja huo, hata arts na kadhalika wote hutambua kanuni hii ni huitumia vyema.
Kanuni ya Usawa wa Ufahamu, Akili na Uhalisia wa Maisha ya Mtu
"Like attracts Like"
Kanuni hii kwa Upande wa Ndani
Sheria hii wengi wanaifahamu ikisema "Like attract like". Kuelewa sheria hii, kwanza ni vyema kufahamu kuwa Akili imegawanyika katika Subsconscious Mind na Conscious Mind. Conscious mind ni sehemu ambayo ndiyo tunaicontrol lakini subconscious mind ni upande ambao ni asilimia kubwa ya akili yetu na ndipo maajabu na nguvu ya akili yetu ilipo. Ni upande ambao hatuwezi kuucontrol directly mpaka kujizoesha au kutumia conscious mind kuiongoza. Ndiyo part inayocontrol vitu au hali bila control yako. Mfano kusimamia kiasi cha sukari mwilini, kubadilisha seli na kutengeneza seli, kuamua ni kiasi gani na aina gani ya hormone kutoka, inaongoza joto la mwili, na kadhalika. Vyote hivi wewe huviongozi lakini sehemu hii inajiongoza. Ni sehemu ambayo ukijizoesha kitu kupitia akili yako kinaingia kwenye conscious mind (akili ya milango ya ufahamu na yenye kuhusiana na judgements), baada ya kuzoea sana subconscious mind inarecord na kuhifadhi ujuzi, experience na uelewa wake. Mfano ukitaka kujifunza kuendesha gari akili (katika sehemu ya consciousmind) inaanza kujifunza na neurons zinajitengeneza kuweka kumbukumbu ya hiyo experience, halafu taaratibu na subconscious mind inapokea ujuzi huo. Na ndio maana unaweza kuendesha gari akili yako ikiwa kwingine. Pia hata miaka ikipita bila kuendesha gari automaticaly siku ukija kuendesha hautaona ni kigeni kwani kumbukumbu yake ipo kwenye subconscious. Ni experience moja sawa na kuogelea, kujifunza kupiga kifaa cha muziki, na arts.Kazi ya conscious mind na subconscious mind. |
Kanuni hii inatusaidia sana kwa kutujulisha kuwa kila experience iliyopo nje yetu imepitia katika ufahamu wetu kwanza. Labda nikuulize kitu, unaweza kuimagine kitu ambacho hujawahi kukiona kabisa wala kupata idea yake kwa kutumia imagination inayojitegemea na uliyoizoea? No, ila unaweza kuimagine kitu kutokana na experience fulani au experience mbalimbali na ukatengeneza picha mpya kutoka katika kilichopo katika ufahamu wako. Hivyo hatuna uwezo wa kuimagine au kutengeneza tusichokifahamu nje ya experience tunayoifahamu bali tunaboresha experience baada ya experience kwa kutengeneza experience nyingine.
Pia kanuni hii inatusaidia kufahamu kuwa hakuna kinachoingia kwenye subconscious mind bila kupitia kwenye conscious mind. Ulishawahi kufanya kitu unconsciously na ukajikuta unashangaa how uliweza kumanage that? It happen.
Akili ya Mwanadamu |
Tazama kanuni hii kwa upande wa Nje.
Like attract like. Kitu cha vibes fulani hukaribisha kitu au hali yenye vibes (vibration) kama yake. Chunguza vizuri hata katika maisha kwa ujumla. Tazama watu wanaokuzunguka, utagundua kuwa watu wenye hasira sana hukutana na experience mbalimbali zenye experience sawa na hasira zao. Mtu mwenye hasira na kukasirika kwa kila jambo analoliona na katika maisha yake ya nje anakutana na experience mbalimbali zinazohusiana na hasira yake, anaweza kukutana na watu wenye hasira kama yeye, anaweza kukutana na hali na changamoto za kuchochea experience yake, Mtu mwenye tabia fulani hata marafiki zake, muonekano na ukaaji wake, jinsi maisha yanavyomuendea, maneno yake n.k vyote huendana na yeye. Huwezi kukuta mtu mwenye maisha tofauti yanayoendana na yeye.Matumizi ya Kanuni Hii
Kutokana na watu fulani kufahamu siri hii wamekuwa wakiweka experience na reality wanayoitaka wao kwa watu bila watu hao kujijua kuwa wanchoexperience ni tofauti na sababu wanayoamini inawafanya waexperience.Mfano kwa kutumia kurudiarudia (repetition) na kuteka imani ya mtu kunaprogram subconscious za yake. Unaporudia rudia kitu unakipa nafasi kuingia kwenye subconscious mind na kikishaingia kwenye subconscious mind ni vigumu kukiondoa na experience yake inaanza kufanyika kwenye uhalisia unaouishi. Mfano kurudia rudia maneno katika sala kunasaidia kupelekea ufahamu wa ndani kuchukua na kuweka akilini maneno hayo. Na sio tu sala, hata katika maisha ya kawaida mtu akianza kusema jambo fulani na kulirudia rudia huku akiliamini linamkaa katika subconscious na kuexperience reality zinazoendana na anachokiamini kila siku na kujisemea kila siku. Ndio maana vitu kama woga, wasiwasi, hasira, chuki, vyote ni sumu kwani vinaturudisha nyuma na vikitukaa tunakata tamaa na kutoelewa maana kamili ya maisha.
Hata katika nyimbo kwenye maredio ikirudiwa sana automatically utaanza kuielewa na kuipenda, hata matangazo hutumia ujanja huo, hata arts na kadhalika wote hutambua kanuni hii ni huitumia vyema.
Jitambue
Shukuru kwa kila jambo na yatumie maisha kujifunza, kujibadilisha kwa kuwa bora zaidi na kujitambua zaidi. Ndio maana ni vyema kushukuru kwa kila jambo na hali. Kushukuru kwa kila jambo ni kama kusurrender kwenye subconscious mind na kuacha ulimwengu ukuletee experience mbalimbali. Unaposhukuru kwa kila jambo unaanza hatua ya kwanza ya mabadiliko ya maisha yako. Ukiweza kuprogram subconscious mind yako katika hali ya kuwa mtu wa kushukuru, itakueletea experience zaidi za kukufanya ushukuru zaidi, je unafikiri ni experience gani? Hata kama upo katika hali gani huwezi kukosa cha kushukuru, katika kila experience kuna Hasi na Chanya. Unapoweka mtazamo wako kwenye Upande mmoja unaukuza upande huo.
Categories: Enlightenment, Happiness, Hasira, Jitambue, Kuamka, Kujitambua, Mafanikio, Mafunzo, Maisha, Mambo ya Muhimu, Mawazo, Ndoto na Malengo, Picha za Ujumbe, Ufahamu, Wazo
0 maoni:
Chapisha Maoni