Jarida la Open African Magazine limeshirikiana Nasi katika kutoa Makala ya Jitambue Sasa. Asanteni Sana.

Posted by Apolinary Macha on 18:35 with No comments

Moja kati ya Makala ya Jitambue Sasa, mwezi uliopita iliweza kupewa nafasi katika Jarida la Afrika linalojulikana kwa Jina la Open African Magazine. Tunapenda kushukuru kwa kuweza kupewa nafasi katika Jarida. Tunaamini mafundisho yetu yatafika mbali na kusaidia wengi katika Maisha.

Pia tunamalizia kuandaa makala nzuri za mwaka huu na tunategemea kuzitoa hivi karibuni.

Asanteni Sana.